MATUKIO YA YA MKUTANO WA AFDB ARUSHA
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete (kulia) akisalimiana na Waziri wa Uchumi na Fedha wa Nigeria Dr.
Ngozi Okonjo- Iweala(kushoto) jana mkoani Kilimanjaro mara baada ya kuwasili
KIA kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa mwaka wa AFDB mjini Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Msemaji wa
Wizara ya Fedha Ingiahedi Mduma jana mara baada ya kuwasilia katika
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa KIA tayari kwa ajili ya kufungua mkutano
wa mwaka wa AFDB mjini Arusha.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa Mkoa wa Arusha
na Wizara ya Fedha wakiwa katika uwanja wa KIA wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho
Kikwete kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa
mwaka wa AFDB
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya
Mrisho kikwete akisalimiwa na viongozi mbalimbali waliofika katika uwanja
wa KIA jana kwa ajili ya kumpokea ili aende mkoani Arusha
katika ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa
AFDB mjini Arusha.
No comments