Kushoro ni kiungo
wa kimataifa wa England, David Beckham akizungumza na rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete aliyeambatana na mkewe
Salma Kikwete hivi karibuni nchini Marekani. (Bin Zubeiry)
JK NA BECKHAM: NATAKA UJE UFUNDISHE TAIFA STARS, UNASEMAJE...
Reviewed by Majuto Omary na Frank Balile
on
12:41 PM
Rating: 5
No comments