Kamati ya mashindano kukutana Septemba 24
Ligi Daraja la Kwanza inayoshirikisha timu 18 inatarajia kuanza mwezi ujao. Kamati ya Mashindano inayoongozwa na Makamu wa Pili wa Rais wa TFF, Ramadhan Nassib inatarajia kukutana Septemba 24 mwaka huu kuangalia mambo mbalimbali ya ligi hiyo.
Moja ya mambo ambayo kamati hiyo itafanya ni kupitisha tarehe ya kuanza ligi hiyo pamoja na vituo vitakavyochezewa ligi hiyo.
washindi katika ligi hiyo, watapanda daraja, kutoka daraja la kwanza kwenda Ligi Kuu Bara msimu ujao.

No comments