Twiga Stars yachapwa Ethiopia
TIMU ya soka
ya Twaga Stars, jana ilikubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Ethiopia, katika
fainali za kuwania kufuzu michuano ya Afrika.
Bao hilo la
Twiga Stars lilifungwa na Fatuma Mustafa, hivyo kujiongezea matumaini ya
kusonga mbele ikiwa mchezo wa marudiano watashinda.
Mechi ya marudiano
imepangwa kufanyika Juni 16, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam
Twiga Stars,
ianataajiwa kuwasili nchini kesho ikitokea Ethiopia, ambapo itaingia kambi kujiwinda na mchezo wa
marudiano.
Twiga Stars,
ikiwa watashinda mchezo mwa marudiano, watakuwa wamefuzu fainali hizo
zitakazochezwa nchini Equatorial Guinea mwakani.
No comments